Bongo up2date, Celebrity Drama Report, Entertainment News, Bongo Deejays 4 Life
Tuesday, 28 December 2010
ALIKIBA KUFUNGUA MWAKA JUMAMOSI HII 1.1.2011 NDANI YA FACE CLUB READING UK

BAADA YA KUWARUSHA WAKAZI WA MJI MKUU {LONDON} VILIVYO, JUMAMOSI HII ALIKIBA KUKAMUA NDANI YA MJI WA KUSOMA NDANI YA FACE CLUB READING KAMA ULIKOSA SHOW YA CLUB AMBASSADOR HII NDIO NAFASI YAKO £10 KABLA YA SAA SITA USIKU £15 BAADA YA SITA WOTE MNA KARIBISHWA
HABARI NDIO HIYO UKOSE UCHEKWE!!!!!!!
 
© Bongo Deejays | Tuesday, December 28, 2010 | Permalink


Maoni: 0


Idadi ya watu
Idadi ya watu