Bongo up2date, Celebrity Drama Report, Entertainment News, Bongo Deejays 4 Life
Friday 4 February 2011
Familia ya Malewo wa Reading -United Kingdom inasikitika kutangaza kifo cha Mama yao mpenzi Edina Malewo kilichotokea jana usiku huko Moshi - Tanzania
Familia ya Malewo wa Reading -United Kingdom inasikitika kutangaza kifo cha Mama yao mpenzi Edina Malewo kilichotokea jana usiku huko Moshi - Tanzania. Marehemu ni mama yao na Anita, Elda na Sheillamina. Mipango ya mazishi yanayotarajiwa kufanyika Moshi Tanzania mara baada ya kuwasili watoto wote wa marehemu inafanywa. Habari za msiba huu ziwafikie ndugu jamaa na marafiki popote pale walipo.

Tunahitaji msaada wenu.
wa hali na mali ili waweze kuwahi mazishi. Tunaomba kuwafariji wafiwa kama ilivyo desturi yetu, tafadhali mtaarifu na mwenzio.

Wale wote ambao mpo Reading Berkshire Msiba upo

21 Don close,
tilehurst,
Reading,
RG30 4YL.
Nyumbani kwa pastor Noel


(kwa maelezo zaidi piga simu +44 7714024620 kupata direction)
 
© Bongo Deejays | Friday, February 04, 2011 | Permalink


Maoni: 0


Idadi ya watu
Idadi ya watu